Informazioni su Kilimo Tanzania.
Kilimo Tanzania su Android App inayotoa Mafunzo ya Kilimo na Ujasiriamali.
App yetu inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Sito web yetu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (app su sito web) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
E-mail: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Soluzioni Android
Progettato da;
Soluzioni Android Mshindo
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
E-mail: [email protected]
What's new in the latest 1.9
Videos enabled
Auto push notification - Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved
Offline mode enabled
Added Social networks
Informazioni sull'APK Kilimo Tanzania.
Vecchie versioni di Kilimo Tanzania.
Kilimo Tanzania. 1.9
Kilimo Tanzania. 1.8
Kilimo Tanzania. 1.7
Kilimo Tanzania. 1.4

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!