Kilimo Tanzania.
About Kilimo Tanzania.
Kilimo Tanzania ni Android App inayotoa Mafunzo ya Kilimo na Ujasiriamali.
App yetu inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email:[email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
*****************************************************************
Android Solutions
Designed by;
Mshindo Android Solutions
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: [email protected]
What's new in the latest 1.9
Videos enabled
Auto push notification - Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved
Offline mode enabled
Added Social networks
Kilimo Tanzania. APK Information
Old Versions of Kilimo Tanzania.
Kilimo Tanzania. 1.9
Kilimo Tanzania. 1.8
Kilimo Tanzania. 1.7
Kilimo Tanzania. 1.4
Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!