PubLinki

PubLinki

Mass Mediation
Apr 14, 2024
  • 67.2 MB

    Dimensione

  • Android 5.0+

    Android OS

Informazioni su PubLinki

Mtandao wa Kijamii unaounganisha UMMA na AJIRA, TAARIFA MUHIMU, ELIMU & BIASHARA

Pub Linki

Ni mtandao wa kijamii wa kurahisisha mawasiliano na kuunganisha jamii kupitia Taarifa, Habari, Fursa, Ajira, Elimu na Biashara mtandaoni.

Mtandao unatoa Fursa kwa mtumiaji kupata taarifa ya kile cha MUHIMU na UHAKIKA kilichomkusudia kuanzia ngazi ya chini kabisa kimaeneo. Yaani Mtaa, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa, Kanda, Taifa e Kimataifa.

Mtandao unakurahisishia pia uweze kishiriki mapinduzi ya kidijitali kwa kukuwekea mifumo mbalimbali itakayokufanya ufanye mambo mengi kidijitali kama vile kufanya Biashara, kupata Marafiki, kupata Ajira, kufahamishwa Fursa, kupata Elimu, kupata Mafunzo na kukuunganisha na Mengi.

PubLinki kama lilivyo lengo lago la "Kuunganisha Umma" (Link pubblico) imeweka mifumo rafiki kufanikisha jambo hilo.

Ndani ya Mtandao utakutana na;

*Post*

Kila taarifa muhimu zinazopaswa kukufikia zinapatikana hapa. Katika ukurasa huu, zinapostiwa, Taarifa za Taasisi mbalimbali, Viongozi mbalimbali na mambo muhimu kwa jamii.

Kupitia hapa Taasisi, Viongozi na Wabeba Taarifa vogliono essere kuwa na kurasa zao na kupost moja kwa moja ndani ya App.

*Sociale*

Kwakuwa tunajua binadamu bila maarifa, elimu, kujua na buridani basi maisha hayaendi sawa. Kupitia hapa utapata maandiko yanayohusu, Maisha, Mahusiano, Usia, Mafundisho, Elimu, Historia, Uchumi, Ushauri, Simulizi na mengine mengi.

Wabobevu tu, ndio wanapewa ruhusa ya kuandika yote hayo, ili kuleta tija ya utakachokipata.

*Promozioni*

Tonno, ulimwengu kwa sasa unahamia katika dijitali. Hata namna ya ufanyaji biashara pia unahamia dijitali, hivyo tumekuwekea fursa ya wewe kuweza kutangaza, kuuza ama kununua huduma na bidhaa ndani ya App yetu.

Bidhaa zitawekwa na kila mtu bure. Utofuti wetu ni kwamba hauna haja ya wakufollow mtu ili ufikiwe na promo yake, wala huna haja ya kusaka watu wakufollow ndio uwafikie wengi na promo yako. Unaowapostia ndio watafikiwa na post yako.

*Applicazioni di lavoro*

Moja ya changamoto kubwa ili kuajiriwa ni pamoja na kupata taarifa za nani anataka kukuajiri. Hapa sisi tunakuwekea matangazo yote ya nafasi za kazi za kuaminika kutoka Serikalini, Taasisi, Makampuni, na Watu binafsi.

*Notizia*

Nini kimetokea na nani anakuambia nini na nani kafanya nini, ndio lengo letu kutibu hii kiu. Mtandao unachapisha Habari za kila pembe ya Tanzania na yanayojili ulimwenguni, kuanzia Siasa, Matukio, Maelezo, Michezo na Burudani.

*Zona degli amici*

Wewe utakayefikiwa na hii App, tunajua unatumia mitandao mingine ya kijamii, na ipo inayohitaji marafili kuongezeka kila siku. Basi sisi tunakurahisishia kupitia hapa.

Utakuwa na uwezo wa kuunganishwa na marafiki kibao kwenye mitandao yako ya Kijamii ya WhatsApp, Facebook, Instagram e Twitter.

NB: Ili ufikiwe na kile kilichokusudiwa kukufikia, itakubidi ujaze taarifa zako za eneo ulipo kuanzia Kata, Jimbo, Wilaya na Mkoa.

TUNAKUHAKIKISHIA

Taarifa zako ni siri yako. Ni hadi uamue wewe kuziweka wazi. Hazionwi na mtu yeyote yule.

Unatumia email iliyoko kwenye simu yako kujiunga na mtandao huu. Hii inafanya iwe rahisi kujisajili ama kuingia kwa mara ya kwanza kuitumia App yetu.

SISI ni kiungo, hatuchagui, hatubagui na wala hatukutengi, kikubwa ni Tunahakisha, ili tuwe wa uhakika zaidi.

Mostra Altro

What's new in the latest 4.0.1

Last updated on 2024-04-14
3.28.54
- Added notifications
- UI updates
- Performance Improvements and bug fixes
Mostra Altro

Video e screenshot

  • Poster PubLinki
  • 1 Schermata PubLinki
  • 2 Schermata PubLinki
  • 3 Schermata PubLinki
  • 4 Schermata PubLinki
  • 5 Schermata PubLinki
  • 6 Schermata PubLinki
  • 7 Schermata PubLinki

Informazioni sull'APK PubLinki

Ultima versione
4.0.1
Categoria
Comunicazione
Android OS
Android 5.0+
Dimensione
67.2 MB
Sviluppatore
Mass Mediation
Available on
Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK PubLinki senza virus per te.

Vecchie versioni di PubLinki

PubLinki 4.0.1

67.2 MBApr 14, 2024
Scarica

PubLinki 3.40.2

50.7 MBNov 30, 2022
Scarica

PubLinki 3.39.1

18.3 MBSep 11, 2022
Scarica

PubLinki 3.33.2

17.5 MBFeb 9, 2022
Scarica
Icona APKPure

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies