Informazioni su Sala na Maombi ya Kweli
Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho
Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.
App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-
✔Ndoa/Mahusiano
✔Kazi
✔Msamaha
✔Masuala ya kifedha
✔Uponyaji
✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-
✔Uponyaji
✔Upendo
✔Msamaha
✔Ufufuo
✔Ndoa/Mahusiano
✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-
✔Nyimbo za Injili
✔Tenzi za Rohoni
✔Nyimbo za Wokovu
✔Nyimbo za Ibada
✔Mwimbieni Bwana
✔Nyimbo za Kristo
✔Nyimbo za Imani Yetu
✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali
VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;
1. Sala na Maombi
2. Ibada Kila Siku
3. Visa vya Biblia
4. Gunduzi Muhimu
5. Unabii
6. Nyimbo za Ibada
7. Mafundisho ya Biblia
NOTA: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
What's new in the latest 9.8
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri
Informazioni sull'APK Sala na Maombi ya Kweli
Vecchie versioni di Sala na Maombi ya Kweli
Sala na Maombi ya Kweli 9.8

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!