Sala na Maombi ya Kweli

Sala na Maombi ya Kweli

Sachatech Ltd
Jul 28, 2025
  • 43.8 MB

    File Size

  • Android 5.0+

    Android OS

About Sala na Maombi ya Kweli

Jiweke Karibu na Mungu Kupitia Sala, Ibada na Maombi Yenye Mafanikio Kiroho

Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia App hii.

App hii inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;

1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vile:-

✔Ndoa/Mahusiano

✔Kazi

✔Msamaha

✔Masuala ya kifedha

✔Uponyaji

✔Nguvu za giza na mengine mengi.

2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.

3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.

4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vile:-

✔Uponyaji

✔Upendo

✔Msamaha

✔Ufufuo

✔Ndoa/Mahusiano

✔Imani nakadhalika

5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.

Mbali na hayo yote App hii inakupatia/itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vile:-

✔Nyimbo za Injili

✔Tenzi za Rohoni

✔Nyimbo za Wokovu

✔Nyimbo za Ibada

✔Mwimbieni Bwana

✔Nyimbo za Kristo

✔Nyimbo za Imani Yetu

✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali

VIPENGELE MUHIMU KATIKA APP HII;

1. Sala na Maombi

2. Ibada Kila Siku

3. Visa vya Biblia

4. Gunduzi Muhimu

5. Unabii

6. Nyimbo za Ibada

7. Mafundisho ya Biblia

NOTE: App hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hii na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.

Show More

What's new in the latest 9.8

Last updated on 2025-07-28
Maombi na Sala
Mafundisho ya Biblia
Masomo na Mahubiri
Show More

Videos and Screenshots

  • Sala na Maombi ya Kweli poster
  • Sala na Maombi ya Kweli screenshot 1
  • Sala na Maombi ya Kweli screenshot 2
  • Sala na Maombi ya Kweli screenshot 3
  • Sala na Maombi ya Kweli screenshot 4
  • Sala na Maombi ya Kweli screenshot 5

Sala na Maombi ya Kweli APK Information

Latest Version
9.8
Category
Lifestyle
Android OS
Android 5.0+
File Size
43.8 MB
Developer
Sachatech Ltd
Available on
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Sala na Maombi ya Kweli APK downloads for you.

Old Versions of Sala na Maombi ya Kweli

APKPure icon

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App

One-click to install XAPK/APK files on Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies