Tenzi Za Rohoni
8.3 MB
Dimensione
Android 5.0+
Android OS
Informazioni su Tenzi Za Rohoni
kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.
Tenzi za Rohoni ni programma inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
Sifa za programma ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pallido unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (grazie a hymnserve.com per
gli accompagnamenti).
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafa.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
What's new in the latest 2 . 2 . 0
Informazioni sull'APK Tenzi Za Rohoni
Vecchie versioni di Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni 2 . 2 . 0
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 8
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 7
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 6
Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!