Tenzi Za Rohoni
8.3 MB
فائل سائز
Android 5.0+
Android OS
About Tenzi Za Rohoni
کتبو کناچوجومیوشا میکسانیاکو و نییمبو 161 زا کموابوڈو نا کمتوکوزا منگو۔
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili۔
پروگرامو hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.
سیف زا پروگرام نی کام زیفوٹازو:-
• Inahushisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (کے لیے hymnserve.com کا شکریہ
ساتھی)۔
• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa mandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
What's new in the latest 2 . 2 . 0
Tenzi Za Rohoni APK معلومات
کے پرانے ورژن Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni 2 . 2 . 0
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 8
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 7
Tenzi Za Rohoni 2 . 1 . 6
APKPure ایپکےذریعےانتہائی تیزاورمحفوظڈاؤنلوڈنگ
Android پر XAPK/APK فائلیںانسٹالکرنےکےلیےایککلککریں!