このAZAM TWO TVについて
BBCイングリッシュとすべてのTZ誌によるアザムスポーツニュースによるアザム英語シリーズ
Azam swahili series na azam sports news na bbc swahili na magazeti yote ya tz
ni app ikuleteayo habari toka katika magazeti yote ya Tanzania na vyanzo vingine vikuu vya habari duniani.App hii ya kipekee inakuwezesha kusoma habari zote zilizochapishwa
bila kusahau Udaku,sjhilawadu,umbea uchumi siasa.toka katika vyanzo vya habari vya kimataifa Duniani
Habari za kimataifa pia zipo.ni Program ya Kiswahili itakayo kuhabarisha yanayojiri ndani na nje ya Tanzania. Pata habari za Kitaifa, kimataifa, Michezo na Burudani kwenye simu au Tablet yako kupitia program hii.
Pata habari za kitaifa, Kimataifa burudani na michezo ndani na nje ya Tanzania muda wote
最新バージョン 3.0.2 の更新情報
Last updated on 2019年07月26日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!