Simba Na Yanga - Watani wa Jadi

Harold Inc
2018年11月02日
  • 9.9 MB

    ファイルサイズ

  • Android 4.4+

    Android OS

このSimba Na Yanga - Watani wa Jadiについて

Habari za Michezo ndani na nje ya Tanzania

Hapa nikijiwe cha simba na yanga watani wa jadi ambapo tunakutana kupashana habari za michezo kuhusuana na simba na yanga pia timu zingine za mpira kutokea ndani na nje ya nchi ya Tanzania

Pata habari zote kali kuhusu Soka la Bongo kupitia APP hii ambapo inakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili,mechi na matukio muhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania

App hii itakupa habari za moja kwa moja kutoka klabu zifuatazo

Azam Fc

Mbeya City

Simba Sc

Yanga Sc

Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezo nchini kama.

Mwanaspoti

Championi

Bingwa

もっと見る隠す

最新バージョン 5.0 の更新情報

Last updated on 2018年11月02日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Simba Na Yanga - Watani wa Jadiの旧バージョン

APKPureアプリで超高速かつ安全にダウンロード

Android で XAPK/APK ファイルをワンクリックでインストール!

ダウンロード APKPure