APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 Afya Kwanza APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.
App of health that will facilitate access to health easily
Afya Kwanza ni app ya simu inayokuwezesha kutunza kumbukumbu ya file number ulizopewa kwenye hospitali yoyote, hivyo kuondoa usumbufu wa kusahau file number pindi uendapo kwenye kituo cha afya.
pia app hii itakupa dondoo za afya kila siku na taarifa nyingine muhimu za afya pia na mawasiliano ya madaktari mbalimbali moja kwa moja na uwezo wa kuwauliza maswali moja kwa moja.