Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 정보
Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.
App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.
Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (오프라인)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani enu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
와콜로사이 3:16
기능
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (오프라인)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
What's new in the latest 2.4.6
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 apk 정보
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16의 오래된 버전
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.6
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.5
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.4
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.3
APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드
한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!