Kwa Taarifa za kiswahili, zinazotokea duniani pote, tembelea BBC Kiswahili
Matukio mbalimbali yanayotokea duniani yanapatikana na kuripotiwa kupitia kituo hiki kinachoripoti kwa lugha ya kiswahili fasaha. Fuatilia kituo hiki kwa matukio dunianiani yenye mlengo wa kisiasa, kiuchumi, michezo, kijamii, burudani na kila aina ya tukio alimradi lipo katika moja ya pembe za dunia yetu. Usipitwe na chochote, kila wakati, kila mahali baki katika kituo hiki.