Dondoo za Afya ni Application Itakayokupa tips muhimu kuhusu afya yako
Kupitia App Hii utanufaika na kujua mambo muhimu ya kuzingatia kuhusu kuboresha afya yako kwa ujumla bila kusahau afya yako ya uzazi,kwa mnaosumbuliwa na matatizo ya kukosa nguvu za kiume au kike na kushindwa kufanya mapenzi,App Hii itakupa Mambo Muhimu ya Kuzingatia ili kujimudu unapikuwa Kitandani