Jumuiya ya wadau wa kilimo 탄자니아
GreenCommunity ni mtandao unaowajumuisha watu mbalimbali na wadau wa kilimo kutoka sehemu mbalimbali Tanzania kwa lengo lakurahisisha mawasiliano na kutatua changamoto wanaokutana nazo wakulima sehemu mbalimbali nchini Tanzania