Jumuiya ya wadau wa kilimo坦桑尼亞
GreenCommunity ni mtandao unaowajumuisha watu mbalimbali na wadau wa kilimo kutoka sehemu mbalimbali Tanzania kwa lengo lakurahisisha mawasiliano na kutatua changamoto wanaokutana nazo wakulima sehemu mbalimbali nchini Tanzania