MAKTABA

MAKTABA

Netwebsites
Jun 25, 2019
  • 3.8 MB

    파일 크기

  • Android 4.1+

    Android OS

MAKTABA 정보

다운로드 가능한 문서들 Kopato Kupitia Maktaba App!

MAKTABA.NET.CO.TZ ni mtandao unaokuwezesha mtu yeyote yule kuweza kuuza documents za aina mbalimbali mtandaoni na ukajenga kipato cha uhakika popote pale ulipo. Mteja analipia kwanza kisha ndio anaruhusiwa kufanya download ya documents yako.

Unaweza kuuza documents yeyote ile ambayo unadhani watu wanaihitaji sana na wapo tayari kuilipia ili waipate. Waweza uza document kama Ebooks, research, ripoti, magazines, exams, calculations, NECTA pastpapers, O-level, A-Level, business, legals, health, tips, michoro, designs, picha, graphics, logo, scripts, codes, templates, security codes, tips... Waweza uza documents za fani yeyote ile kama kilimo, afya, uhandisi, siasa, dini, masomo, sayansi, historia, ufugaji, mapishi, mahusiano, biashara, Tehama, uchumi…

Kujenga kipato chako mtandaoni ktk mtandao wa MAKTABA.NET.CO.TZ haihitaji uwe na mtaji wa ma milioni au laki kadhaa, bali kinachohitajika ni NGUVU YA AKILI YAKO, YOUR MENTAL ASSETS ambayo obvious unayo na kwa miaka mingi umekuwa ukiinoa shuleni mpaka ngazi za vyuo. Unachopaswa ni kujiamini na kuchukua hatua.

Fikiria mfano,Wewe ni mtu wa accounting, na unaanda training materials kuwasaidia wanafunzi kufanya mitihani ya bodi:

- Labda umeandaa booklets na kwa moja unauza kwa Tshs. 10,000/=

- Idadi ya wanafunzi wanaofanya mitihani hiyo wapo 5,000 na wewe ukafanikiwa kuwauzia wanafunzi 1,000 tu ndani ya miezi 2

- Mapato yako ya mauzo ni Tshs. 10,000 x 1,000 people = Tshs. 10,000,000/=

- Kwahiyo mauzo yako ndani ya siku 60 ni Tshs. 10,000,000/= na ukumbuke hii sio Biko au Kubet bali ni JUHUDI ZENYE UHAKIKA, THE POWER OF MENTAL ASSETS!

- Pia waweza uza past-trainings materils zako ambazo ulizitumia wewe kujiandaa pindi unasoma ili kumaximise zaidi fursa.

Matokeo ni mazuri pale unapofanya kazi zako vyema kidijitari. Wasaidie wanafunzi wa primary, secondary, olevel, alevel na veta, chuo..

Document zako ambazo umezipakia mtandaoni kwajili ya kuziuza, zitaendelea kuuzika muda wa masaa 24x7 bila kujali wewe upo macho au umelala au unafanya majukumu mengine. Unaandaa document moja na kisha unauzia watu mamilioni Zaidi na Zaidi bila kubadili chochote kile; angalia namna biashara hii ilivyo na ufanisi mzuri. Kila baada ya muda Fulani toa toleo jingine la document yako ili wasomaji wako wanunue tena kila toleo jipya unalotoa ambalo ni mwendelezo wa lililopita (kama magazeti wanavyofanya); Huu ni uwekezaji mzuri kabisa wa kuuza digital assets zako mtandaoni na zikawa zinakuletea kipato endelevu muda wote. Tunaita DIGITAL ASSETS maana ni mali za kidijitari ambazo zinakuwa zinakutengenezea kipato mtandaoni.

Kama Vile Shule Direct au tHL au Maktaba Tetea au Vsomo au Msomi Maktaba au Ubongo Kids au Kitabu App ... zinavyoleta mapinduzi ya kidijitari, basi Maktaba nayo inakupa uwezo zaidi ktk elimu na uchumi wako.

Tunakuwezesha haya kwa njia ya mtandao wenye kuleta urahisi na ufanisi katika kutekeleza haya.

- Je, Simu na kompyuta yako vinakusaidia namna gani katika kujenga kipato chako?

- Umejiandaa namna gani na mapinduzi ya kidijitari ya uchumi?

- Mitandao yako ya kijamii inakusaidia namna gani kujenga kiuchumi?

Je, Vinakupunguzia kipato chako au kukuongezea?

Mteja analipa kwanza kisha ndio anafanya download ya document yako. Jenga kipato endelevu ktk uchumi wa kidijitari!

Akili ni Mali!

더 보기

What's new in the latest 2.5.0

Last updated on Jun 25, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • MAKTABA 포스터
  • MAKTABA 스크린샷 1
  • MAKTABA 스크린샷 2
  • MAKTABA 스크린샷 3
  • MAKTABA 스크린샷 4

MAKTABA의 오래된 버전

MAKTABA 2.5.0

3.8 MBJun 25, 2019
다운로드
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기