APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 MWAKASEGE LIVE LEO APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.
Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.
Huduma ya Neno la Mungu yenye makao yake makuu Arusha Tanzania. Huduma hii inaongozwa na Neno la Mungu kutoka katika kitabu cha Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu".
Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.
MANA Tanzania na Mwl. Christopher Mwakasege:
P. O Box 2166, Arusha, Tanzania.
Simu:
(+255) 736 50 10 81
(+255) 745 52 52 25
(+255) 739 50 10 81
Email:
christopherdianamwakasege@gmail.com