karibu kwenye ukurasa huu kuhusu lugha ya swahili kwa usaidizi
Mwl. Maeda. T.S ni muhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2009) katika shahada ya Sanaa na Elimu (B.A Ed) kwa Kiswahili na Jiografia. Sasa amejihusisha katika kufundisha masomo ya Kiswahili katika shule za sekondari na vyuo vikuu.