Rushwa Kit - "Free Application for Enabling Where, When & Who ......"
Rushwa ni programu ya simu inayokusanya taarifa mbalimbali kuhusu fununu/matukio ya uhalifu wa kutoa au kupokea rushwa ili kupata upendeleo usio stahili ikichukua na alama za kijiographia/picha ili kuwezesha kujua wapi tukio limetokea na kushauri jinsi ya kupunguza/kuondoa utoaji/upokeaji rushwa.