Jitibu nyumbani kwa tiba za mitishamba
Tiba za mitishamba ni tiba asili za mimea ambazo hazina athari yoyote katika afya ya binaadam. 앱 hii ya mitishamba inakuwezesha kufahamu mimea mbalimbali pamoja na kazi zake katika kutibu magonjwa mbalimbali. Hapa utafahamu mimea, matunda, maua, mizizi pamoja na magome ya miti mbalimbali. Utajifunza pia uandaaji wa dawa hizo kwa kina pamoja na matumizi yake kwa ujumla. Ukiwa na App hii ni rahisi kujitibu nyumbani mwenyewe.