Video mpya

Video mpya

RAHA TZA
Aug 3, 2017
  • 4.0 and up

    Android OS

Video mpya 정보

Assalam Alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh, Pata Video bora, kwa umma bora

KUHUSU app HII

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

Ndugu, Waislamu,

Assalam Alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh

Kwanza kabisa hatuna budi kumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zake zote alizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali haki na kuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafa aliyeteuliwa kuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwa viumbe vyote ulimwenguni. Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu cha Quran na mafundisho ya Sunna zake.

Na kwa hakika bila ya muongozo huu tungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa.

Madhumuni yetu makubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha (mawaidha,nasiha, maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.

sisi tunaosimamia mtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambua fikra, qadhia na matokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Na kuyatolea ufafanuzi kwa mujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.

Kwa hivyo, tunapenda kuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katika mtandao huu ili kushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra na maoni katika kujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kila wanaemjua ili kuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuza ufahamu wa Waislamu.

Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yake hii na atuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezea na kufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.

더 보기

What's new in the latest 2.0.g

Last updated on Aug 3, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Video mpya 포스터
  • Video mpya 스크린샷 1
  • Video mpya 스크린샷 2
  • Video mpya 스크린샷 3
  • Video mpya 스크린샷 4
  • Video mpya 스크린샷 5
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기