Video za kiislamu

Video za kiislamu

RAHA TZA
Jun 5, 2019
  • 7.9 MB

    파일 크기

  • Android 4.1+

    Android OS

Video za kiislamu 정보

비디오 ZA kiislamu ambazo NI 비디오 보라 KWA Umma 보라,

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ

Ndugu, Waislamu,

Assalam Alaykum wa Rahmatullahi wa Barakatuh

Kwanza kabisa hatuna budi kumshukuru Allah (Subhanahu wata'ala) kwa neema Zake zote alizoturuzuku na kutujaalia kuwa miongoni mwa walioikubali haki na kuifuata. Pia tunamtakia Rehma na Amani Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) kipenzi chetu Al- Mustafa aliyeteuliwa kuwa Mjumbe, Muonyaji na Mtoa bishara na Rehma kwa viumbe vyote ulimwenguni.

Yeye ametumwa na muongozo wa Kitabu cha Quran na mafundisho ya Sunna zake. Na kwa hakika bila ya muongozo huu tungekuwamo katika kiza totoro na maangamio makubwa.

Madhumuni yetu makubwa ni kuhabarisha (news) na kukumbusha (mawaidha,nasiha, maswali na majibu n.k) kuhusu mfumo wa Kiislamu.

sisi tunaosimamia mtandao huu tunakusudia kujadili na kuchambua fikra, qadhia na matokeo mbali mbali ya uchumi, jamii nk. Na kuyatolea ufafanuzi kwa mujibu wa mfumo wetu mtukufu wa Kiislamu.

Kwa hivyo, tunapenda kuwakaribisha na kuwaalika Waislamu wote katika mtandao huu ili kushirikiana nasi kwa kutoa michango yao ya fikra na maoni katika kujadili, kusoma na kuusambaza mtandao huu kwa kila wanaemjua ili kuasisi majadiliano kwa nia safi kwa lengo la kukuza ufahamu wa Waislamu.

Tunamuomba Allaah atupe tawfiq katika kazi yake hii na atuzidishie ufahamu na upambanuzi wa haki katika kuelezea na kufikisha ujumbe wake huu kwa Waumini wote Inshaallah.

TANBIH

APP hii haihusiani na Taasisi yeyote wala kundi/Dhehebu lolote tovuti hii inaendeshwa kwa muongozo wa Quran & sunnah utakapoona sehemu yeyote yenye shida usisite kuwasiliana nasi kupitia email yetu [email protected]

Allaah ndie Muweza wa yote na Kwake ndio mategemeo yetu.

Wasalaam.

Ndugu zenu katika Iymaan na Tawhiyd

더 보기

What's new in the latest 20.0.3

Last updated on 2019-06-05
very fast and reliable
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Video za kiislamu 포스터
  • Video za kiislamu 스크린샷 1
  • Video za kiislamu 스크린샷 2
  • Video za kiislamu 스크린샷 3

Video za kiislamu의 오래된 버전

APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기