Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo

Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo

Jumaclicks, Inc.
Jun 13, 2020
  • 4.1 and up

    Android OS

Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 정보

Vyuo vya 탄자니아-응용 프로그램 za Vyuo Vikuu, Vyuo vya Ualimu, Vyuo vya Afya

Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo Vikuu, Vyuo vya Ualimu, Vyuo vya Afya

Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo

Ni application Msaidizi kwako wewe mwanachuo mtarajiwa, wanavyuo vyuoni, Wanafunzi wa Ngazi zote. App yetu itakusaidia Kupata ukitakacho bila usumbufu wowote

Baadhi ya Huduma Muhimu utakazo pata ni kama ifuatavyo;

Heslb Login

- Itakusaidia kuona majina ya waliopata mkopo, Kuomba Mkopo wako na Hata Namna ya kulipa deni unalodaiwa

TCU Guide book

- Utaweza kusoma vigezo na masharti ya kuomba chuo yaani sifa, Gharama na Muda wa Kozi Husika, Utafahamu vyuo vilivyoruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka Husika

NACTE Guide book

- Huu ni muongozo kwa wale wanaohitaji kuomba kozi za Ualimu, Mifugo, Afya n.k kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa Mwaka huu wa masomo

Nacte results

- Hapa utaweza kujuzwa selection za vyuo zitakapotoka

Pia ndani ya App hii utapata taarifa zote za matokeo ya Kidato cha Nne, matokeo ya Kidato cha Pili, matokeo ya Kidato cha Sita, matokeo ya Vyuo vya ualimu, Matokeo Darasa la Saba na Matokeo Darasa la nne mwaka huu

DISCLAIMER

Unless specified, Vyuo Tanzania- Application za Vyuo app is not in any way affiliated with any of the education news providers featured in this application.

The material provided here is solely for informational purposes. App Users are advised to use the information at their own discretion.

더 보기

What's new in the latest 2.0

Last updated on Jun 13, 2020
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 포스터
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 1
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 2
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 3
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 4
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 5
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 6
  • Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo 스크린샷 7
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기