このVyuo vya Tanzania- Application za Vyuoについて
Vyuo vyaタンザニア-アプリケーションza Vyuo Vikuu、Vyuo vya Ualimu、Vyuo vya Afya
Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo Vikuu, Vyuo vya Ualimu, Vyuo vya Afya
Vyuo vya Tanzania- Application za Vyuo
Ni application Msaidizi kwako wewe mwanachuo mtarajiwa, wanavyuo vyuoni, Wanafunzi wa Ngazi zote. App yetu itakusaidia Kupata ukitakacho bila usumbufu wowote
Baadhi ya Huduma Muhimu utakazo pata ni kama ifuatavyo;
Heslb Login
- Itakusaidia kuona majina ya waliopata mkopo, Kuomba Mkopo wako na Hata Namna ya kulipa deni unalodaiwa
TCU Guide book
- Utaweza kusoma vigezo na masharti ya kuomba chuo yaani sifa, Gharama na Muda wa Kozi Husika, Utafahamu vyuo vilivyoruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka Husika
NACTE Guide book
- Huu ni muongozo kwa wale wanaohitaji kuomba kozi za Ualimu, Mifugo, Afya n.k kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa Mwaka huu wa masomo
Nacte results
- Hapa utaweza kujuzwa selection za vyuo zitakapotoka
Pia ndani ya App hii utapata taarifa zote za matokeo ya Kidato cha Nne, matokeo ya Kidato cha Pili, matokeo ya Kidato cha Sita, matokeo ya Vyuo vya ualimu, Matokeo Darasa la Saba na Matokeo Darasa la nne mwaka huu
DISCLAIMER
Unless specified, Vyuo Tanzania- Application za Vyuo app is not in any way affiliated with any of the education news providers featured in this application.
The material provided here is solely for informational purposes. App Users are advised to use the information at their own discretion.