Nyimbo Za Kristo

  • 26.2 MB

    Bestandsgrootte

  • Android 5.0+

    Android OS

Over Nyimbo Za Kristo

Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.

Nieuwe programma's van Kristo en programma's die gemaakt kunnen worden door 220 meisjes die een kat kunnen dragen, die samen met Kristo kunnen worden gemaakt in de Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (Tanzania ADVENTIST PRESS).

Programma hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote op muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.

Sifa za programma ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.

Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (met dank aan hymnserve.com voor

de begeleidingen).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona

inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Programma hii imeandaliwa na kutengenezwa op Justin Diva op Godfrey Diva kwa

utukufu wa Mungu.

Meer InfoMinder Info

What's new in the latest 2 . 3 . 3

Last updated on 2024-12-29
Imerekebisha baadhi ya makosa ya kiuandishi.

Nyimbo Za Kristo APK -informatie

Laatste versie
2 . 3 . 3
Android OS
Android 5.0+
Bestandsgrootte
26.2 MB
Available on
Veilige en snelle APK Downloads op APKPure
APKPure gebruikt handtekeningverificatie om virusvrije Nyimbo Za Kristo APK downloads voor u te garanderen.

Oude versies van Nyimbo Za Kristo

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app

Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!

Downloaden APKPure
Veiligheidsrapport

Nyimbo Za Kristo

2 . 3 . 3

Het beveiligingsrapport zal binnenkort beschikbaar zijn. Ondertussen willen we erop wijzen dat deze app de initiële veiligheidscontroles van APKPure heeft doorstaan.

SHA256:

a6a791da1dbb5b285c8a087a816d4ce05b4c8f934397932074d47c4544e24334

SHA1:

4f0eaaa5d887cedfd71771266e224934444ba242