Nyimbo Za Kristo

  • 20.0 MB

    Rozmiar Pliku

  • Android 5.0+

    Android OS

O Nyimbo Za Kristo

Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili.

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa ADVENTZTANZ).

Program hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa

neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno

yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata

kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa blady unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.

• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (dzięki hymnserve.com za

akompaniamenty).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona

inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya

Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.

Program hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa

utukufu wa Mungu.

Pokaż więcejPokaż mniej

What's new in the latest 2 . 3 . 2

Last updated on 2024-07-09
Imetatua changamoto ya program kujifunga kwa android 14.

Informacje Nyimbo Za Kristo APK

Ostatnia wersja
2 . 3 . 2
Android OS
Android 5.0+
Rozmiar Pliku
20.0 MB
Available on
Bezpieczne i Szybkie Pobieranie APK na APKPure
APKPure używa weryfikacji podpisu, aby zapewnić bezpieczne pobieranie plików APK Nyimbo Za Kristo bez wirusów dla Ciebie

Stare wersje Nyimbo Za Kristo

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
Raport bezpieczeństwa

Nyimbo Za Kristo

2 . 3 . 2

Raport bezpieczeństwa będzie wkrótce dostępny. W międzyczasie proszę pamiętać, że ta aplikacja przeszła wstępne kontrole bezpieczeństwa APKPure.

SHA256:

ae23dabaa03de13ae0567f09f209386f15bf1af1de17062f51c0ee9b7135295e

SHA1:

aad2b7b8d0c8a5f9b064df664a5e4a3dba66ef17