Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Over Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Fahamu Kwa Undani Sifa na Bei ya Simu Yako
Kama unataka kujua sifa kamili za simu yako ya Android basi app ya simu yako itakuwa msaada mkubwa kwako.
Kupitia app hii unataweza kujua sifa mbalimbali za simu yako kuanzia jina kamili la simu yako, uhifadhi wa ndani wa simu yako, RAM ya simu yako, CPU ya simu yako pamoja na mambo mengine mengi.
App hii haina matangazo na ni bure kutumia na inaweza kuwa msaada mkubwa sana pale unapotaka kununua simu na kutaka kujua sifa za simu hiyo.
Pia ndani ya app utaweza kujua bei ya simu yako ya makadirio kwa kufuta link maalum, Kama unataka kujua bei ya simu yako sasa unaweza kutembelea tovuti ya Price in Tanzania hapo chini.
Website - https://priceintanzania.com
Email us - info@tanzaniatech.one
What's new in the latest 1.0.0
Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android APK -informatie
Oude versies van Simu Yako - Sifa Kamili za Simu ya Android
Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app
Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!