Tenzi Za Rohoni

Tenzi Za Rohoni

LIPAMILA
Jan 26, 2023
  • 5.0

    Android OS

O Tenzi Za Rohoni

Tenzi za rohoni ni kitabu kinachokupa nyimbo 161 za tenzi za kumuabudu Mungu.

Ukiwa na app utapata nyimbo mbalimbali zilizopo kwenye kitabu cha tenzi, nyimbo hizo ni kama vile mwokozi umeniokoa, twamsifu mungu, hata ndimi elfu, jina jezioro Yesu tamu, Baba mwana Roho, Ni tatibu wa katibu, taji mvikeni, Yesu kwetu ni rafiki, usinipite mwokozi, nina haja na wewe, ewe roho wa Mungu, Taifa daima Utakatifu, Yesu kwa imani, cha kutamaini sina, kumtegemea mwakozi, namwandama daima, akifa Yesu nikafa naye, ndiyo dhamana Yesu wangu, ninaye rafiki naye, roho yangu hima na nyimbo nyingine nyingi.

unachotakiwa kufanya ni kubonyeza alama hiyo ya kudowload ili uweze kupata app hii.

Mwenyezi Mungu Akubariki sana, na ubarikiwe pia kupitia tenzi hizo

Pokaż więcej

What's new in the latest 1.0

Last updated on Jan 26, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • Tenzi Za Rohoni plakat
  • Tenzi Za Rohoni screenshot 1
  • Tenzi Za Rohoni screenshot 2
  • Tenzi Za Rohoni screenshot 3
  • Tenzi Za Rohoni screenshot 4
APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies