Tenzi Za Rohoni
5.0
Android OS
دربارهی Tenzi Za Rohoni
Tenzi za rohoni ni kitabu kinachokupa nyimbo 161 za tenzi za kumuabudu Mungu.
Ukiwa na app utapata nyimbo mbalimbali zilizopo kwenye kitabu cha tenzi, nyimbo hizo ni kama vile mwokozi umeniokoa, twamsifu mungu,hata ndimi elfu,jina lake Yesu tamu, Baba mwana Roho,Ni tatibu wa katibu, taji mvikeni,Yesu kwetu ni rafiki,usinipite mwokozi, nina haja na wewe,Ewe roho wa Mungu, Taifa daima Utakatifu, Yesu kwa imani, cha kutamaini sina,kumtegemea mwakozi,namwandama daima, akifa Yesu nikafa naye,ndiyo dhamana Yesu wangu,ninaye rafiki naye,roho yangu hima na nyimbo nyingine nyingi.
unachotakiwa kufanya ni kubonyeza alama hiyo ya kudowload ili uweze kupata app hii.
Mwenyezi Mungu Akubariki sana, na ubarikiwe pia kupitia tenzi hizo
جدیدترین 1.0 چه خبر است
اطلاعات Tenzi Za Rohoni APK
دانلود فوق سریع و ایمن از طریق برنامه APKPure
برای نصب فایل های XAPK/APK در اندروید با یک کلیک!