PIM Radio
5.0 and up
Android OS
Oписание PIM Radio
Карибу PIM Radio (Саути я Имани на Матендо)
Naitwa Mchungaji Masatu Kabalama ni mtumishi wa Mungu ninayeishi Singida mjini. Ninamtumikia Mungu katika Kanisa la Pentekoste Imani na Matendo Tanzania (KAPEIMATA).
Ni furaha yangu kukuletea mahubiri, mafundisho, maombi na Maombezi kwa njia ya Radio ambayo ni online Radio ijulikanayo kama PIM Radio (Pentekoste Imani na Matendo, Radio).
Radio hii unaweza kuipata popote pale ulipo Tanzania na nje ya Tanzania kwa kuipakua katika simu yako ndani play store.
Ni Imani yangu mbele za Mungu kwamba, Mungu kupitia Mwanawe Yesu Kristo na Roho Mtakatifu atakuhudumia na kuyabariki maisha yako kukutoa katika utumwa wa dhambi kukuleta katika wokovu, kukutoa katika mateso ya magonjwa, vifungo vya shetani, kuonewa, kulia na kukosa tumaini kukuleta katika furaha, amani, afya na kuwa huru.
Tafadhali naomba upakue app hii kwenye simu yako ili iwe rahisi kusikiliza mafundisho ya neno la Mungu kiganjani mwako
Asante sana na Mungu Akubariki
Kwa mawasiliano, wasiliana nami moja kwa moja kwa kutuma ujumbe mfupi (Sms), kupiga simu, au nitafute Whatsapp na Telegram kwa namba zifuatazo.
👇👇👇
+255 753 305 957
Что нового в последней версии 1.0.1
Информация PIM Radio APK
Супер Быстрая и Безопасная Загрузка через Приложение APKPure
Один клик для установки XAPK/APK файлов на Android!