SMS Moto za Mapenzi ❤
Oписание SMS Moto za Mapenzi ❤
Приложение Мпя я СМС за Махаба на Мапензи. Dumisha penzi lako kwa kutumia App hii.
App hii ni ya kukuwezesha kutuma SMS za Love ama Upendo kwa mpenzi wako. Ukitaka mpenzi wako ajue kwamba unampenda, App hii ni ya maana sana kwako na uta furahia sana utunzi wa App hii.
Kwa ufupi, App hii itakusaidia kuzidisha mapenzi, Love, Romance, Uhuba, Upendo, Urafiki n ahata kufanya mpenzi wako akupende sana kuliko zamani.
Watakao tumia App hii:
- Wapendanao;
- Wasichana;
- Wavulana;
- Wana familia;
- Wazazi;
- Love birds;
- Watu ambao wako na uhusiano wa ndani sana.
Yaliyomo:
- Jumbe za mahaba;
- SMS za upendo;
- SMS ya mapenzi;
- SMS za msichana;
- SMS za uhusiano;
- SMS za kubembeleza;
- Message za mapenzi;
- SMS za usiku;
- SMS za kuudhi;
- SMS za usiku mwemwa;
- SMS za urafiki;
- SMS kwa umpendae.
Download this App, Rate and Share.
Что нового в последней версии 1.0
Информация SMS Moto za Mapenzi ❤ APK
Старые Версии SMS Moto za Mapenzi ❤
SMS Moto za Mapenzi ❤ 1.0
SMS Moto za Mapenzi ❤ 2.0
Супер Быстрая и Безопасная Загрузка через Приложение APKPure
Один клик для установки XAPK/APK файлов на Android!