啪嗒ujuzi juu雅Ufugaji WA褲褲誇Njia ZA Kisasa吶Kibiashara扎伊迪
"Fuga Kibiashara" Ni application iliyolenga kukupatia mafunzo juu ya ufugaji wa kisasa wa kuku, Sasa jipatie elimu hii buree kabisa kwa kudownload application hii.Kupitia application hii utaweza kupata masomo kila siku kuhusiana na ufugaji wa kisasa, Tiba mbalimbali za Magonjwa ya kuku, Magonjwa yanayoshambulia kuku kwa sana pamoja na chanjo zake, taarifa za soko la kuku kiujumla pamoja na soko la mayai ya kuku.