在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Kurani (Kiswahili - Kiingereza) APK 下載。
古蘭經斯瓦希里語 / 英語。古蘭經 斯瓦希里語
Kurani ni kitabu kitukufu cha Uislamu ambacho kinatazamwa na Waislamu kama "Neno la Allah". Kitabu hicho kwao ni tofauti kabisa na maandiko ya dini nyingine kwa maana hicho kinaaminika kwamba kimeandikwa moja kwa moja na Mwenyezi Mungu, kupitia mtume wake wa mwisho, Muhammad.
Kadiri ya Qurani , Mungu alimuambia Muhammad: "Na namna hivi tumekufunulia Qurani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembeni mwake"
Kurani imeandikwa na kusomwa kwa lugha ya Kiarabu pekee kwa zaidi ya miaka 1,400.