Giới thiệu về Tangaboy Music
Tanga Boy is an App that brings you the purest of new music, new and old dances.
Tanga Boy ni App inayokuletea muziki safi kabisa, ngoma mpya na za zamani kutoka Bongo na nje ya Bongo.
Kupitia App hii utapata taarifa kila tunapoweka wimbo mpya kwenye tovuti yetu. Pia utakuwa wa kwanza kupata ngoma mpya kila zitakapo toka kwani kila wakati tunaweka nyimbo za kutosha kwenye tovuti yetu na utazipata moja kwa moja kupitia App yetu .
Application yetu ina mambo mazuri yafuatayo:-
1. Inafunguka kwa wepesi
2. Ina mwonekano mzuri
3. Imepangilia muziki vizuri kulingana na aina ya muziki
4. Inatumia in ternet data kidogo sana.
5. Na mengine mengi sana utayaona.
6. Pata taarifa kila tunapoweka ngoma mpya.
Tafadhali pakua application hii nawe utapata mengi kuhusu muziki wa Tanzania na Duniani kwa ujumla.
What's new in the latest 9.8
Thông tin APK Tangaboy Music

Tải xuống siêu nhanh và an toàn thông qua Ứng dụng APKPure
Một cú nhấp chuột để cài đặt các tệp XAPK/APK trên Android!