♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania

♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania

AIDAN MIMATA
Jul 23, 2017
  • 4.0.3 and up

    Android OS

♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania সম্পর্কে

♡Kuchangia damu hakujawahi kupitwa na wakati♡

Zawadi gani kubwa unaweza kumpa mtu? Pesa? Nyumba? Gari? Nafasi ya kuishi tena?

Changia damu okoa maisha app iko pamoja na wewe kukuwezesha kujisajili kuwa uko tayari kuchangia damu pale inapohitajika kuokoa maisha ya mtu pale kunapokua na upungufu wa damu kwenye kituo husika cha afya kilicho karibu na wewe.

Kwanini ni muhimu kujitunga na app hii?

1. Ukijiunga na app hii inakupa nafasi pia ya kujua wachangiaji wengine walio karibu na wewe, jambo litakalokusaidia wakati unahitaji msaada wa damu.

2. Pia itakuwezesha kujua vituo vya afya vilivyo karibu na wewe pamoja na njia ya kufika.

3. Rahisi sana kutumia na haina matangazo.

3. Na kubwa zaidi, inakupa nafasi ya kuokoa maisha ya mtu, zawadi iliyo kubwa kuliko zote.

UNAANZA VIPI?

1.Pakua hii app

2. Jisajili kwa kujaza fomu kuhusu jina lako, kundi la damu, mahali unapopatikana, namba ya simu, mara n.k

3.Umemaliza!

4. Utatafutwa pale uhitaji wa damu utakapotokea na damu yako kuwa inahitajika kuokoa maisha.

5. Kama una mgonjwa anayehitaji kuchangiwa damu, unaweza kutumia hii app kujua watu walio karibu na wewe ambao wamejisajili kuwa tayari kusaidia.

6.Pia unaweza kutumia app hii kujua vituo vya afya vilivyo karibu na wewe.

Ninategemea app hii itakuwa na matokeo chanya kwenye jamii.

Dan C Mimata

0742002526

আরো দেখান

What's new in the latest 1.0.2

Last updated on Jul 23, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
আরো দেখান

ভিডিও এবং স্ক্রিনশট

  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania পোস্টার
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 1
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 2
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 3
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 4
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 5
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 6
  • ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania স্ক্রিনশট 7
APKPure আইকন

APKPure অ্যাপের মাধ্যমে অতি দ্রুত এবং নিরাপদ ডাউনলোড করা হচ্ছে

Android-এ XAPK/APK ফাইল ইনস্টল করতে এক-ক্লিক করুন!

ডাউনলোড করুন APKPure
thank icon
আমরা আপনার ব্যবহারকারীর অভিজ্ঞতা বাড়ানোর জন্য এই ওয়েবসাইটে কুকি এবং অন্যান্য প্রযুক্তি ব্যবহার করি।
এই পেজে কোনো লিঙ্কে ক্লিক করে আপনি আমাদের Privacy Policy and কুকি নীতিতে আপনার সম্মতি দিচ্ছেন।
আরো জানুন