Over ♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania
♡ Kuchangia damu hakujawahi kupitwa na wakati ♡
Zawadi gani kubwa unaweza kumpa mtu? Pesa? Nyumba? Gari? Nafasi ya kuishi tena?
Changia damu okoa maisha app iko pamoja na wewe kukuwezesha kujisajili kuwa uko tayari kuchangia damu pale inapohitajika kuokoa maisha ya mtu pale kunapokua na upungufu wa damu kwenye kituo husika cha afya kilicho karibu na wewe.
Kwanini ni muhimu kujitunga na app hii?
1. Ukijiunga na app hii inakupa nafasi pia ya kujua wachangiaji wengine walio karibu na wewe, jambo litakalokusaidia wakati unahitaji msaada wa damu.
2. Pia itakuwezesha kujua vituo vya afya vilivyo karibu na wewe pamoja na njia ya kufika.
3. Rahisi sana kutumia na haina matangazo.
3. Na kubwa zaidi, inakupa nafasi ya kuokoa maisha ya mtu, zawadi iliyo kubwa kuliko zote.
UNAANZA VIPI?
1.Pakua hii app
2. Jisajili kwa kujaza fomu kuhusu jina lako, kundi la damu, mahali unapopatikana, namba ya simu, mara n.k
3.Umemaliza!
4. Utatafutwa pale uhitaji wa damu utakapotokea na damu yako kuwa inahitajika kuokoa maisha.
5. Kama una mgonjwa anayehitaji kuchangiwa damu, unaweza kutumia hii app kujua watu walio karibu na wewe ambao wamejisajili kuwa tayari kusaidia.
6.Pia unaweza kutumia app hii kujua vituo vya afya vilivyo karibu na wewe.
Ninategemea app hii itakuwa na matokeo chanya kwenye jamii.
Dan C Mimata
0742002526
What's new in the latest 1.0.2
♥Changia Damu Okoa Maisha♥ | Tanzania APK -informatie

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app
Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!