Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

  • 9.8 MB

    Tamanho do arquivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Sobre este Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Soma Magazeti Habari Mbalimbali na Tanzânia Bila Matangazo

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.

Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.

Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.

* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....

Mostrar mais

Novidades em 2.0 mais recente

Last updated on 2020-11-06
Sehemu Mpya ya Habari Video
* Global TV YouTube
* Ayo TV YouTube
* Wasafi Media YouTube
* Bongo 5 YouTube
* Azam TV YouTube
* MCL Digital YouTube
* ITV Tanzania YouTube
* TBC Online YouTube
* EATV YouTube
Sehemu Mpya ya Social Media
* Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram
Maboresho ya Muonekano
Maboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TV
Sehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia
Mostrar mais

Vídeos e capturas de tela

  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Para Trailer oficial
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 1
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 2
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 3
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 4
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 5
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 6
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) imagem de tela 7

Informações sobre Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) APK

Última Versão
2.0
Android OS
Android 4.1+
Tamanho do arquivo
9.8 MB
Desenvolvedor
Tanzania Tech Media
Downloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) sem vírus para você.
APKPure ícone

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App

Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!

Baixar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies