Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

  • 9.8 MB

    파일 크기

  • Android 4.1+

    Android OS

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 정보

Soma Magazeti na Habari Mbalimbali za 탄자니아 Bila Matangazo

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.

Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.

Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.

* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....

더 보기

What's new in the latest 2.0

Last updated on 2020-11-06
Sehemu Mpya ya Habari Video
* Global TV YouTube
* Ayo TV YouTube
* Wasafi Media YouTube
* Bongo 5 YouTube
* Azam TV YouTube
* MCL Digital YouTube
* ITV Tanzania YouTube
* TBC Online YouTube
* EATV YouTube
Sehemu Mpya ya Social Media
* Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram
Maboresho ya Muonekano
Maboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TV
Sehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)의 안드로이드 공식 트레일러
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 1
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 2
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 3
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 4
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 5
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 6
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) 스크린샷 7
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기