Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

  • 9.8 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.1+

    Android OS

Mengenai Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Soma Magazeti na Habari Mbalimbali za Tanzania Bila Matangazo

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.

Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.

Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.

* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 2.0

Last updated on 2020-11-06
Sehemu Mpya ya Habari Video
* Global TV YouTube
* Ayo TV YouTube
* Wasafi Media YouTube
* Bongo 5 YouTube
* Azam TV YouTube
* MCL Digital YouTube
* ITV Tanzania YouTube
* TBC Online YouTube
* EATV YouTube
Sehemu Mpya ya Social Media
* Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram
Maboresho ya Muonekano
Maboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TV
Sehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) untuk Treler rasmi Android
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 1
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 2
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 3
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 4
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 5
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 6
  • Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) syot layar 7
APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya