Sobre este Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muçulmano na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.
Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
Novidades em 2.0 mais recente
Informações sobre Hadithi 40 za Imamu Nawawi APK
Versões Antigas de Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Hadithi 40 za Imamu Nawawi 2.0
Hadithi 40 za Imamu Nawawi 1.0

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!