Hadithi 40 za Imamu Nawawi
关于Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye。 Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo。 Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40。
伊玛目 Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh。 Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu。
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa。 Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii。 Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi。
最新版本2.0的更新日志
Hadithi 40 za Imamu Nawawi APK信息
Hadithi 40 za Imamu Nawawi历史版本
Hadithi 40 za Imamu Nawawi 2.0
Hadithi 40 za Imamu Nawawi 1.0
在APKPure上极速安全下载应用
一键安装安卓XAPK/APK文件!