Use APKPure App
Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android
Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili
Hizi ni haditsi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadits 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya haditsi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadits sahihi tu katika hizi hadits 40.
Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadits na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadits kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadits sahihi tu.
Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadits hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
Diunggah oleh
Bilal Khan
Perlu Android versi
Android 4.4+
Kategori
Laporkan
Last updated on Sep 13, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Hadithi 40 za Imamu Nawawi
2.0 by K Technologies
Sep 13, 2023