Downloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Tiba mimea na Quran sem vírus para você.
Tiba mimea na Quran - Jitibu kwa mimea Jitibu Nyumbani
Mwenyezi Mungu hakushusha ugonjwa pasi na kuwa na dawa, na dawa hizo zimeterenshwa kupitia njia mbalimbali ikiwemo mimea, wanyama na wadudu. Mbali na hapo MwenyeziMungu akakifanya kitabu chake kitukufu (Alcorão) kuwa tiba juu ya maradhi mbalimbali kwa wale walioamini.
Hivyo, App hii ya Tiba mimea na quran (Tiba za kisunnah), inakufungulia tiba hizo na kuweza kuzifahamu kwa undani
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!