Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK Tiba mimea na Quran senza virus per te.
Tiba mimea na Quran - Jitibu kwa mimea Jitibu Nyumbani
Mwenyezi Mungu hakushusha ugonjwa pasi na kuwa na dawa, na dawa hizo zimeterenshwa kupitia njia mbalimbali ikiwemo mimea, wanyama na wadudu. Mbali na hapo MwenyeziMungu akakifanya kitabu chake kitukufu (Corano) kuwa tiba juu ya maradhi mbalimbali kwa wale walioamini.
Hivyo, App hii ya Tiba mimea na quran (Tiba za kisunnah), inakufungulia tiba hizo na kuweza kuzifahamu kwa undani
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!