تنزيلات APK آمنة وسريعة على موقع APKPure
يستخدم APKPure التحقق من التوقيع لضمان تقديم تنزيلات خالية من الفيروسات لـ Tiba mimea na Quran APK لك.
طيبة ميميا في القرآن - Jitibu kwa mimea Jitibu Nyumbani
Mwenyezi Mungu hakushusha ugonjwa pasi na kuwa na dawa، na dawa hizo zimeterenshwa kupitia njia mbalimbali ikiwemo mimea، wanyama na wadudu. Mbali na hapo MwenyeziMungu akakifanya kitabu chake kitukufu (القرآن) kuwa tiba juu ya maradhi mbalimbali kwa wale walioamini.
Hivyo ، App hii ya Tiba mimea na quran (Tiba za kisunnah) ، inakufungulia tiba hizo na kuweza kuzifahamu kwa undani
قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!