Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo
Nov 29, 2016
  • 68.0 MB

    Tamanho do arquivo

  • Android 2.3.2+

    Android OS

Sobre este Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Msaidie Kibena kuhamisha panya kwa kujiunga nae kwenye Kitabu hiki cha maajabu!

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.

Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.

JIFUNZE:

-Thamani za namba

-Kujumlisha

-Kutoa

-Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?

Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:

Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

Mostrar mais

Novidades em 1.2.1 mais recente

Last updated on 2016-11-29
Enhanced performance and user experience
Mostrar mais

Vídeos e capturas de tela

  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya Cartaz
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 1
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 2
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 3
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 4
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 5
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 6
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya imagem de tela 7

Informações sobre Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

Última Versão
1.2.1
Categoria
Educação
Android OS
Android 2.3.2+
Tamanho do arquivo
68.0 MB
Desenvolvedor
Ubongo
Downloads seguros e rápidos de APK no APKPure
O APKPure usa verificação de assinatura para garantir downloads de APK Ubongo Kids - Hesabu za Panya sem vírus para você.

Versões Antigas de Ubongo Kids - Hesabu za Panya

APKPure ícone

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App

Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!

Baixar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies