Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo
Nov 29, 2016
  • 68.0 MB

    파일 크기

  • Android 2.3.2+

    Android OS

Ubongo Kids - Hesabu za Panya 정보

Msaidie Kibena kuhamisha panya KWA kujiunga NAE kwenye kitabu 히키 차 maajabu!

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.

Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.

JIFUNZE:

-Thamani za namba

-Kujumlisha

-Kutoa

-Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?

Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:

Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

더 보기

What's new in the latest 1.2.1

Last updated on 2016-11-29
Enhanced performance and user experience
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 포스터
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 1
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 2
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 3
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 4
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 5
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 6
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya 스크린샷 7

Ubongo Kids - Hesabu za Panya apk 정보

최신 버전
1.2.1
카테고리
교육
Android OS
Android 2.3.2+
파일 크기
68.0 MB
개발자
Ubongo
APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.

Ubongo Kids - Hesabu za Panya의 오래된 버전

APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기