Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo
29/11/2016
  • 68.0 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 2.3.2+

    Android OS

Acerca del Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Msaidie Kibena kuhamisha panya kwa kujiunga NAE kwenye Kitabu hiki cha maajabu!

Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.

Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.

JIFUNZE:

-Thamani za namba

-Kujumlisha

-Kutoa

-Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET – app MPYA toka UBONGO?

Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids – Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” – app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:

Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.

Mostrar más

Novedades más recientes 1.2.1

Last updated on 2016-11-29
Enhanced performance and user experience
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya Poster
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 1
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 2
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 3
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 4
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 5
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 6
  • Ubongo Kids - Hesabu za Panya captura de pantalla 7

Información de Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

Última Versión
1.2.1
Categoría
Educación
Android OS
Android 2.3.2+
Tamaño de archivo
68.0 MB
Desarrollador
Ubongo
Descargas seguras y rápidas de APK en APKPure
APKPure utiliza verificación de firmas para garantizar descargas de Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK libres de virus para ti.

Versiones Antiguas de Ubongo Kids - Hesabu za Panya

APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies