Dala Ujenzi

Dala Ujenzi

Increate Technologies
2023年05月09日
  • 27.1 MB

    文件大小

  • Android 5.0+

    Android OS

关于Dala Ujenzi

Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12.5% ya gharama ya nyumba。

Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12.5% ya gharama ya nyumba。 Pia fanya ukarabati wa nyumba au malizia ujenzi kwa kulipa 1 mil tu na gharama inayobaki utalipa mpaka kwa miaka 20.

UJENZI WA NYUMBA

Ukilipa 12.5% ya gharama ya ujenzi wa nyumba, unajengewa kuanzia msingi mpaka finnishing alafu utalipa kiasi kilichobaki mpaka kwa miaka 20。

-Chukulia mfano wa nyumba inayo gharimu 50,000,000 /=。

*Nyumba inayogharimu 50,000,000/= utajengewa kuanzia msingi mpaka 完成 ukilipa 6,250,000/= sawasawa na 12.5% ya gharama ya ujenzi。

*Utalipa 250,000/= sawa sawa na 0.53% ya gharama ya ujenzi kila mwezi kwa miezi 24, au utalipa garama yote kwa pamoja。

* Baada ya kukamilisha malipo ya 6,250,000/= tutakuongezea 43,000,000/= ili kutimiza gharama za ujenzi ambazo ni 50,000,000/= na utajengewa nyumba kuanzia msingi mpaka 整理,na ujenzi ukiisha utahamia kwenyakony。

*Ukishahamia kwenye nyumba yako ndipo utakapo lipa 43,750,000/= ulioongezewa kwaajili ya ujenzi wa nyumba yako Kidogo Kidogo kwa mda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo。

*Tutakusaidia kuuza nyumba yako pamoja na deni lililobaki kwa ndani ya siku 90, ambapo utarudishiwa pesa uliyotumia kununua kiwanja na ujenzi, pamoja na faida。

乌卡拉巴蒂 WA NYUMBA

Fanya ukarabati, ongeza vyumba, badili mwonekano wa nyumba, na malizia ujenzi。 Kwa ukarabati unao gharimu 20 mil mpaka 1 bil, ukilipa 1 mil, tunakufanyia ukarabati alafu gharama iliyobaki utalipa kwa miaka 20。

* Kiasi cha milioni 1 (Dar es Salaam) mpaka milioni 1 na nusu (kwa mkoani), utalipa kwaajili ya huduma ya ukarabati。 Gharama iyo itahusisha sisi kutembelea nyumba yako inayoitaji ukarabati, kutengeneza mchoro na mpango wa ukarabati kama itahitajika。

*Lipa 1 mil/1.5 mil Kidogo Kidogo kwa mda wa mpaka mwaka mmoja, au lipa kwa mkupuo。

* Baada ya kufanya malipo ya 1 mil/1.5 mil, na kupata mpango wa ukarabati, tutakuongezea kuanzia 20 mil mpaka 1 bil kulingana na mahitaji ya ukarabati wa nyumba yako。

* Baada ya ukarabati kukamilika, utalipa kiasi ulichoongezewa kwaajili ya ukarabati Kidogo Kidogo kwa muda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo。

更多

最新版本1.2.1的更新日志

Last updated on 2023年05月09日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
更多

视频和屏幕截图

  • Dala Ujenzi 海报
  • Dala Ujenzi 截图 1
  • Dala Ujenzi 截图 2
  • Dala Ujenzi 截图 3
  • Dala Ujenzi 截图 4
  • Dala Ujenzi 截图 5
  • Dala Ujenzi 截图 6
  • Dala Ujenzi 截图 7

Dala Ujenzi APK信息

最新版本
1.2.1
Android OS
Android 5.0+
文件大小
27.1 MB
Available on
在APKPure安全快速地下载APK
APKPure 使用签名验证功能,确保为您提供无病毒的 Dala Ujenzi APK 下载。

Dala Ujenzi历史版本

Dala Ujenzi 1.2.1

27.1 MB2023年05月09日
下载
APKPure 图标

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies