Dala Ujenzi

Dala Ujenzi

  • 27.1 MB

    Dung lượng tệp

  • Android 5.0+

    Android OS

Giới thiệu về Dala Ujenzi

Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12,5% ya gharama ya nyumba.

Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12,5% ya gharama ya nyumba. Pia fanya ukarabati wa nyumba au malizia ujenzi kwa kulipa 1 mil tu na gharama inayobaki utalipa mpaka kwa miaka 20.

UJENZI WA NYUMBA

Ukilipa 12,5% ya gharama ya ujenzi wa nyumba, unajengewa kuanzia msingi mpaka phần vây alafu utalipa kiasi kilichobaki mpaka kwa miaka 20.

-Chukulia mfano wa nyumba inayo gharimu 50.000.000 / =.

* Nyumba inayogharimu 50.000.000 / = utajengewa kuanzia msingi mpaka kết thúc ukilipa 6.250.000 / = sawasawa na 12,5% ya gharama ya ujenzi.

* Utalipa 250.000 / = sawa sawa na 0,53% ya gharama ya ujenzi kila mwezi kwa miezi 24, au utalipa garama yote kwa pamoja.

* Baada ya kukamilisha malipo ya 6.250.000 / = tutakuongezea 43.000.000 / = ili kutimiza gharama za ujenzi ambazo ni 50.000.000 / = na utajengewa nyumba kuanzia msingi mpaka hoàn thành, na ujenzi ukiisha utahamia kwenye nyumba yako.

* Ukishahamia kwenye nyumba yako ndipo utakapo lipa 43,750,000 / = ulioongezewa kwaajili ya ujenzi wa nyumba yako kidogo kidogo kwa mda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.

* Tutakusaidia kuuza nyumba yako pamoja na từ chối lililobaki kwa ndani ya siku 90, ambapo utarudishiwa pesa uliyotumia kununua kiwanja na ujenzi, pamoja na faida.

UKARABATI WA NYUMBA

Fanya ukarabati, ongeza vyumba, badili mwonekano wa nyumba, na malizia ujenzi. Kwa ukarabati unao gharimu 20 triệu mpaka 1 tỷ, ukilipa 1 triệu, cá ngừkufanyia ukarabati alafu gharama iliyobaki utalipa kwa miaka 20.

* Kiasi cha milioni 1 (Dar es Salaam) mpaka milioni 1 na nusu (kwa mkoani), utalipa kwaajili ya huduma ya ukarabati. Gharama iyo itahusisha sisi kutembelea nyumba yako inayoitaji ukarabati, kutengeneza mchoro na mpango wa ukarabati kama itahitajika.

* Lipa 1 triệu / 1,5 triệu kidogo kidogo kwa mda wa mpaka mwaka mmoja, au lipa kwa mkupuo.

* Baada ya kufanya malipo ya 1 triệu / 1,5 triệu, na kupata mpango wa ukarabati, tutakuongezea kuanzia 20 mil mpaka 1 bil kulingana na mahitaji ya ukarabati wa nyumba yako.

* Baada ya ukarabati kukamilika, utalipa kiasi ulichoongezewa kwaajili ya ukarabati kidogo kidogo kwa muda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.

Hiển thị nhiều hơn

What's new in the latest 1.2.1

Last updated on May 8, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Hiển thị nhiều hơn

Video và ảnh chụp màn hình

  • Dala Ujenzi bài đăng
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 1
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 2
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 3
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 4
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 5
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 6
  • Dala Ujenzi ảnh chụp màn hình 7

Thông tin APK Dala Ujenzi

Phiên bản mới nhất
1.2.1
Danh mục
Nhà cửa
Android OS
Android 5.0+
Dung lượng tệp
27.1 MB
Nhà phát triển
Increate Technologies
Available on
Tải APK an toàn và nhanh chóng trên APKPure
APKPure sử dụng xác minh chữ ký để đảm bảo tải APK miễn phí virus cho Dala Ujenzi.

Phiên bản cũ của Dala Ujenzi

Dala Ujenzi 1.2.1

27.1 MBMay 8, 2023
Tải về
APKPure biểu tượng

Tải xuống siêu nhanh và an toàn thông qua Ứng dụng APKPure

Một cú nhấp chuột để cài đặt các tệp XAPK/APK trên Android!

Tải về APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies